iqna

IQNA

ISA MASHIH
Krismasi
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa Kingozi wa Kanisa Katoliki Duniani na Wakristo wote duniani kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa , amani ta Mwenyezi Mungi iwe juu yake –AS-na amekutaja kuzaliwa kwa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu kuwa ni fursa ya kukumbuka ruwaza njema ya kuwapenda wanadamu na kutoa bishara njema kwa watu wanaodhulumiwa na kukandamizwa.
Habari ID: 3474715    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24